JONAS MKUDE KUIKOSA LIPULI JONAS MKUDE AKIWA NA WACHEZAJI WENZIE

Kikosi cha  wekundu wa Msimbazi ,Simba kushuka dimbani hii leo majira ya saa 10 kamili jioni  mjini Iringa kukipiga na Lipuli  FC   Uwanja wa Samora 


Simba itakichakaza   bila kiungo wake Jonas Mkude ambaye anatumikia  adhabu ya kadi tatu za njano.

Aidha Mkude atalazimika kusubiri mechi dhidi ya watani zake wa jadi utakaopigwa Aprili 29 Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.


Pia Kiungo James Kotei ndiye atakuwa mbadala wa Mkude katika sehemu ya kiungo kutokana na kufanana aina ya mchezo wanaocheza.

Comments