KING KIBA AUAGA UKAPERA

Nyota wa muziki wa Bongo flava nchini  Ali Saleh Kiba ameuacha rasmi ukapera baada ya kufunga ndoa na mpenziwe kutoka Kenya.
Harusi hiyo ya kukata na shoka iliofanyika katika msikiti wa Ummul Kulthum ilihudhuriwa na rafiki wa mwanamuziki huyo Gavana wa Mombasa Ali Hassan Joho.
Heart maker wa Seduce me aliisafirisha familia yake mjini Mombasa siku moja kabla ya kumuoa mchumba wake  Amina Ahmed 

Comments

Popular posts from this blog

JONAS MKUDE KUIKOSA LIPULI JONAS MKUDE AKIWA NA WACHEZAJI WENZIE